Maji machafu yakiwa yametuwaa
mfereji barabara ya Taifa Road Ngamiani Tanga na kusababisha mazalia ya mbu na
kutoa harufu kali na kuwa kero kwa wafanyabiashara wenye maduka na wapita kwa
miguu.
Maji hayo yalotuwaa yamekuwa kero kwa wafanyabiashara wenye maduka na wapita kwa miguu baada ya kutoa harufu kali na kuzaliasha mazalia ya mbu. Hata hivyo jitihada za halmashauri ya jiji imewezesha mifereji mingi kuwa safi na baadhi yaji kutembea tofauti na mfereji huo wa Ngamiani ambao ni katikati ya jiji la Tanga
Tangakumekucha inakaribisha maoni na taarifa ya kila jambo ulionalo, usikalie habari 0655 902929
No comments:
Post a Comment