Ufaransa kufungua pazia la Euro 2016
Mashindano ya
mataifa ya ulaya maarufu kama Euro, yanaanza kutimu vumbi leo huko
nchini Ufaransa. Wenyeji wa michuano hii Ufaransa watafungua pazia kwa
kushuka dimbani kuwakabili Romania katika mechi ya kundi A mchezo
ukichezwa katika dimba la Stade de France Mjini Paris.
Jumla ya 24
zitashiriki michuano hii na ikiwa ni mara ya kuweza kushirikisha idadi
ya timu hizo hapo awali ni timu 16 tu ndizo zilikua zinacheza michuano
hii.Viwanja kumi vikitumika kumsaka bingwa mpya wa ulaya,mabingwa watetezi wa mashindano haya ni Spain ambao walibeba Kombe Mwaka 2012.
No comments:
Post a Comment