Mbuzi wakiwa wamepoteza maisha baada ya kupigwa na mvua ya mawe.
WATU
38 wamefariki Dunia huku wengine zaidi ya 60 wakijeruhiwa vibaya baada
ya mvua kubwa ya mawe iliyoambatana upepo mkali kunyesha katika kijiji
cha Mwakata kata ya Isaka Wilayani Kahama Mkoani shinyanga.
No comments:
Post a Comment