Kwa wale wenzangu mnaopenda kuona nyumba za kisasa zilivyojengwa, hizi 3 kwangu ni kali za leo.
Ni mara kwa mara hapa www.tangakumekucha.blogspot.com huwa naweka picha za nyumba za kisasa zilivyojengwa na wenzetu ili hata watu wangu walio kwenye ujenzi wapate madini kidogo au idea manake kuna uwezekano nyumba yote kama hii kuijenga ukashindwa lakini kuna vitu vichache unaweza kuvijenga/kuwa navyo kwa kujifunzia hapa.
No comments:
Post a Comment