Unadhani ile kauli ya James Bond wa zamani ilimbagua Idris Elba
Roger More jamaa aliyewahi kuigiza movie kwa jina la ‘James Bond‘
Bond anasema aliulizwa kuhusu ishu ya Elba kumrithi Daniel Craig ambaye ndiye anayeigiza kama James Bond kwa sasa.
Msanii huyo ambae ni mkongwe wa filamu,
alinukuliwa akisema kuwa mtu anayefaa kumrithi katika filamu mpya ya 007
anafaa kuwa muigizaji aliyetokea Uingereza kwa kuwa James Bond
wote waliotangulia walikuwa wazungu toka huko.. kuliibuka hisia kali kutoka kwa watu mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii
lakini amesisitiza kuwa alinukuliwa vibaya.
…
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia,www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment