Mama huyu aliona breakfast iwe panya kwa mtoto wake…
Hii imetokea huko India baada ya
mwanamke mmoja kumalazimisha mtoto wake kula nyama ya panya kama kitoweo
cha asubuhi kwa madai watamsaidia kumpatia nguvu.
Mtoto huyo aitwaye Chen
alizua majibizano kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuweka picha ya
panya hao ambao alitengewa na mama yake huku mama huyo akumuhimiza
kuhakikisha anamaliza kabla ya yeye kuondoka kwenda kazini.
Awali mtoto huyo alidhani hawakuwa panya
bali sungura lakini alipokuja kuujua ukweli alikataa kula lakini mama
yake aliendelea kumlazimisha.
Alimsisitiza kuwa panya mmoja ana uwezo wa kumpatia vitamini mwilini sawa na kula kuku watatu.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment