Ratiba ya robo fainali ya ligi ya mabingwa UEFA hii hapa…
Katika ratiba hiyo Real Madrid itacheza na Atletico Madrid huku Barcelona wao wakiwa na kibarua kigumu dhidi ya Paris Saint-Germain ama ‘PSG‘ ambayo iliiondoa Chelsea kwenye michuano hiyo.
Mechi:
PSG Vs Barcelona
Atletico Madrid Vs Madrid
Porto Vs Bayern
Juve Vs Monaco
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment