Tuesday, March 10, 2015

AJALI YA NGEDE UFARANSA ILIYOANGUKA IMEWAHUSISHA PIA WANAMICHEZO

Ajali ya ndege Ufaransa! imehusisha wanamichezo wa Olympiki…

cpta
Wanamichezo watatu walioshiriki mashindano ya Olympiki mwaka 2012 London, ni miongoni mwa watu 10 waliofariki katika ajali ya helkopta nchini Argentina wakati walipokuwa wakitengeneza kipindi cha Tv Show kinachoitwa ‘Dropped’.
wanafunziiiAjali hiyo ilitokea Kaskazini Mashariki mwa Argentina wakati helkopta mbili zilipogongana na kuua idadi hiyo ya watu wakiwemo marubani wawili wa Ufaransa Juan Carlos Castillo na Roberto Abate pamoja na raia wengine watano.
koptaa
Wanamichezo hao Florance Arthaud ambaye alishinda katika mchezo wa kupiga makasia,Camille Muffat alishinda medali ya dhahabu kwa upande wa mchezo wa kuogelea kwa wanawake na bondia wa ngumi Alexis Vastine aliyeshinda medali ya fedha.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment