Ferguson hataki kusahaulika, hii ni mipango yake tena katika soka.
Kocha mstaafu, Alex Ferguson yuko katika hatua za mwisho kutoa kitabu kingine kitakachohusu masuala ya soka.
Taarifa zimeeleza kitabu hicho
zaidi kitaelezea katika suala la ufundi uwanjani na nini alichofanya
katika kipindi chote akiwa kocha.
Hata hivyo wachambuzi wa
soka Ulaya wameshaanza kusema kuwa kitabu hicho huenda kitakuwa msaada
mkubwa kwa kocha wa sasa wa Man United, Louis van Gaal ndani ya kikosi
chake cha sasa.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment