Mama aliyetelekeza watoto na kuolewa…
Mwanamke ambae inasemekana kuwa
ameenda kuolewa Zanzibar na kuwaacha watoto wake watatu mkubwa akiwa na
miaka 6 ambae ndiyo anatakiwa kuwaangalia wadogo zake.
Majirani wasema kuwa kitendo alichofanya mwanamke huyo cha kuwatelekeza watoto hao sio kizuri kwani mazingira wanayoishi sio mazuri ikiwemo uchafu na hali ya mtoto wake mdogo mwenye umri wa mwaka mmoja sio nzuri na kwa sasa yupo katika Hospitali ya Muhimbili akipatiwa matibabu kutokana na Afya yake kudhoofika kwa sababu ya kukosa lishe.
Mtoto huyo amesema mama yao amewaachia mdogo wake wa mwaka mmoja ambae anamhudumia na aliwadanganya kuwa anaenda kwa bibi yake lakini hakuondoka na nguo zake.
Hutopitwa na habari inayonifikia na niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:
Post a Comment