Kutoka Nigeria, sasa hivi ni mtelezo tu…. ni mastaa wao kwenye picha za pamoja na Diamond weekend.
Sio tu Diamond amekua akipost picha akiwa
na mastaa hawa, hata Wanigeria hawa wamekua wakipost ambapo mmoja wao ni
Iyanya aliepost picha usiku wa Jumapili akiwa na Diamond Platnumz na
kuandika ‘Brother kutoka Tanzania Diamond, video ya nakupenda tunaifanya kesho’
Diamond amezidi kuisogeza Tanzania na kuitangaza zaidi kwenye nchi mbalimbali zikiwemo za Afrika mfano Nigeria ambayo mwanzoni ilikua ngumu kuingilika ila sasa hivi kazi ameshamaliza, unajionea mwenyewe picha alizopiga na mastaa wa Nigeria kama 2Face, P Square, Iyanya na wengine.
No comments:
Post a Comment