Tuzo ya heshima kwa staa huyu wa soka baada ya kukemea ubaguzi wa rangi..
Tukio la hivi karibuni la mashabiki wa Chelsea lilionyesha
dhahiri kwamba bado hawana mapenzi na watu wa rangi nyeusi baada ya
kumzuia shabiki mwenzao asipande ndani ya treni kutokana na kuwa mweusi.
Mchezaji huyo raia wa Cameroon
amefanikiwa kutwaa tuzo hiyo baada ya kupambana na mambo yanayohusu
ubaguzi kwa kipindi chote ambacho amekuwa akicheza katika klabu
mbalimbali za soka na hivi karibuni alilaani kitendo cha mashabiki wa
chelsea kumbagua shabiki mwenzao kutokana na kuwa ni mtu mweusi wakati
wakitoka uwanjani.
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment