Thursday, March 12, 2015

KONGAMANO LA WAFANYABIASHARA TANGA

 Wafanyabiashara Mkoani Tanga wakimsikiliza Mwakilishi wa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania, Silver Kiondo, kuzungumzia changamoto wanazokabiliana nazo zikiwemo matumizi ya mashine ya EFD  na ongezeko la asilimia mia ya  kodi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kikao kilichoandaliwa na Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT) Mkoa wa Tanga uliofanyika leo Tanga.




No comments:

Post a Comment