Tuesday, March 3, 2015

MAJONZI MAZISHI YA JOHN KOMBA

Rais Kikwete kuhusu Mauaji ya albino, Vitambulisho vya Wapigakura na msiba wa Kapteni Komba..

.
.
Kazi yangu ni kuhakikisha hupitwi na chochote ndio maana leo natumia muda wangu kukusogezea na haya yaliyoandikwa na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwenye ukurasa wake wa Twitter kuhusu mauaji ya albino, vitambuisho vya taifa  na kifo cha marehemu Kapteni John Komba.
Nitakutumia baadae kidogo na usiache kuperuz www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment