Manny Pacquiao tayari kaingia mtaani kujiandaa na pambano lake na Mayweather (Pichaz)
Manny Pacquiao ameanza kujiandaa tayari, hataki kushindwa na mpinzani wake mwenye vioja vingi, Floyd Mayweather.
Baada ya hapo alitoa shoo kwa kupiga
ngumi huku na kule kuonyesha kwamba anataka kutoa somo kwa Mayweather
ambaye wengi wanampa nafasi kubwa ya kushinda.
Pambano kati ya wakali hawa litakuwa pambano la hela nyingi baada ya kuahidiwa kitita kikubwa cha fedha na pia litakuwa gumu kati ya wawili hao
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment