Taarifa ya ndege ya Rais wa Ghana kuwaka moto uwanjani
Inadaiwa kuwa ndege hiyo iliwaka moto lakini rais wa nchi hiyo John Mahama na
viongozi wengine wa serikali hawakuwemo ndani yake hivyo hakukuwa na
majeruhi yoyote ambapo serikali imesema moto ulitokana na msuguano wa
matairi na barabara ya uwanja wa ndege.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment