Tuesday, October 27, 2015

WABUNGE 40 WALIOTHIBITISHWA NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

Hawa ndio Wabunge zaidi ya 40 waliothibitishwa kushinda Uchaguzi Mkuu 2015..

Tunaendelea kuzipata updates kila wakati kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kuhusu matokeo ya Kura za Wagombea Urais kwenye uchaguzi uliofanyika October 25 2015 Tanzania.
Ripoti za matokeo ya waliopita kwenye Ubunge na Udiwani zinaendelea kutoka, lakini kwingine bado mambo hayajawa sawa.
Hii ni sehemu ya majina niliyoyapata kwenye ripoti ya Kituo cha Azam TV kuhusu waliopita kwenye nafasi ya Ubunge..
Busega – Rafael Chegeni (CCM)
Nsalala – Ezekiel Maige (CCM)
Ngara – Alex Gashaza (CCM)
Kisarawe- Suleiman Jaffo (CCM)
Bagamoyo -Dk. Shukuru Kawamba (CCM)
Ilemela (Mwanza) – Angelina Mabula (CCM)
Bukoba Mjini – Wilfred Lwakatare (CHADEMA)
Ilala – Mussa Azan Zungu (CCM)
Singida Mjini – Mussa Sima (CCM)
Same Magharibi- Mathayo David Mathayo (CCM)
Same Mashariki- Nagenjwa Kayoboka (CHADEMA)
Rombo- Joseph Selasini (CHADEMA)
Rungwe- Saul Henry Amon (CCM)
Mbogwe- Stephen Masele (CCM)
Bunda- Esther Bulaya (CHADEMA)
Chalinze- Ridhiwan Kikwete (CCM)
Bagamoyo- Shukuru Jumanne Kawambwa (CCM)
Iramba Mashariki – Mwigulu Nchemba (CCM)
Hai (Kilimanjaro) – Freeman Aikaeli Mbowe (CHADEMA)
Mbeya Mjini – Joseph Osmond Mbilinyi (CHADEMA)
Hanang – Mary Nagu (CCM)
Lupembe – Joram Ismael Hongoli (CCM)
Kigoma Mjini – Zitto Zubery Kabwe (ACT- Wazalendo)
Dodoma Mjini- Antony Mavunde (CCM)
Mtama (Lindi)- Nape Moses Nnauye (CCM)
Babati Vijijini- Jitu Soni (CCM)
Kawe (Dar) – Halima James Mdee (CHADEMA)
Mbeya Mjini- Joseph Osmund Mbilinyi (CHADEMA)
Kahama Mjini – Kishimba Jumanne Kibera (CCM)
Sikonge (Tabora) – George Kakunda (CCM)
Nzega Mjini- Hussein Mohammed Bashe (CCM)
Urambo (Tabora)- Margaret Sitta (CCM)
Singida Mjini- Mussa Sima (CCM)
Mpanda Vijijini – Moshi Selemani Kakoso (CCM)
Geita Mjini – Constantine Kanyasu (CCM)
Mbeya Vijijini- Oran Njeza (CCM)
Mafinga Mjini- Cosato Chumi (CCM)
Kalenga (Iringa)- Godfrey Mgimwa (CCM)
Isimani (Iringa) – William Lukuvi (CCM)
Songea Mjini – Leonidas Gama (CCM)
Kilombero – Peter Ambrose (CHADEMA)
Iramba Mashariki – Allan Joseph Kiula (CCM)
Newala (Mtwara) – George Mkuchika (CCM)
Kavuu (Katavi) – Prudenciana Kikwembe (CCM)
Longido (Arusha) – Onesmo Nangole (CHADEMA)
Kwimba (Mwanza) – Mansoor Shanif Hirani (CCM)
Bukoba Vijijini – Jason Rweikiza (CCM)
Kwa habari matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment