Viwanja 10 vya Ndege vilivyo kwenye hali mbaya zaidi Duniani mwaka 2015
Usafiri salama zaidi namba moja Duniani
ni Usafiri wa anga, YES.. lakini kuna umuhimu pia kujua Wasafiri wa anga
wanachukuliaji mazingira ya huduma za usafiri pamoja na viwanja vya
Ndege !!
Ripoti imepatikana baada ya Utafiti
kufanyika Mtandaoni, Wasafiri waliambiwa watoe maoni kuhusu Viwanja vya
Ndege vilivyo na hali mbaya zaidi na vinatoa huduma ambazo haziridhishi.
Majibu ya Ripoti yamevitaja Viwanja vyenyewe, hapa nimekusogezea list ya Viwanja vyote kumi, Afrika kimetajwa kimoja.
1. Port Harcourt International Airport (Nigeria)
2. King Abdulaziz International Airport (Jeddah, Saudi Arabia)
3. Tribhuvan International Airport (Kathmandu, Nepal)
4. Tashkent International Airport (Uzbekistan)
5. Simon Bolivar International Airport (Caracas, Venezuela)
6. Toussaint Louverture International Airport (Port au Prince, Haiti)
7. Hamid Karzai International Airport (Kabul, Afghanistan)
8. Tan Son Nhat International Airport (Ho Chi Minh City, Vietnam)
9. Benazir Bhutto International Airport (Islamabad, Pakistan)
10. Beauvais-Tille International Airport (Paris, France)
Kwa habari, matukio na michezo ni hapaha tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment