Mauaji ya ng'ombe India yaibua hasira
Mkuu wa chama
tawala cha India, cha BJP Amit Shah, amewalaumu wanasiasa wanne wa chama
hicho kwa kutoa matamshi ya kutatanisha kuhusu ng'ombe na nyama ya
mnyama huyo.
Mmoja alitaka hukumu ya kifo, kwa watu wanaochinja
ng'ombe; na mwengine alitoa maanani kisa ambapo Muislamu, aliyetuhumiwa
kula nyama ya ng'ombe, alichapwa mikwaju na kundi la watu.Tukio hilo akisema kuwa hiyo ilikuwa ni ajali tu.
Katika kipindi cha mwezi ulilopita, vifo vingine viwili vya Waislamu, vilihusishwa na ghasia za wazalendo wa Kihindu, kuhusu ng'ombe na ulaji wa nyama ya ng'ombe.
Mape
Waislamu na Wakristu walio wachache hula nyama ya ng'ombe.
No comments:
Post a Comment