Keki ya Mugabe akiadhimisha miaka 92
Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe, amekata keki kubwa na kuzima mishumaa kusherekea siku yake ya kuzaliwa.
Kiongozi huyo mkongwe muanzilishi wa taifa hilo lililoko Afrika ya Kusini ameadhimisha miaka 92 ya kuzaliwa kwake.Keki hiyo ilikabidhiwa Mugambe katika sherehe iliyoandaliwa na wafanyikazi wake asubuhi ya leo.
Gushungo ni jina lake la ukoo.
BBC
No comments:
Post a Comment