Tuesday, February 9, 2016

SHIRIKA LA UJERUMANI GIZ LAISAIDIA HOSPITALI YA TEULE MUHEZA COMPUTER SYSTEM

 Afisa Ubalozi wa Ujerumani, Claudia Kraemer pamoja na Madakari na wakuu wa Idara hospitali ya Teule Wilayani Muheza Mkoani Tanga, wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya makabidhiano ya Computer System kudhibiti pesa kwa mfumo wa mtandao uliofadhiliwa Deutsche Geselleschaft for Internationale Zusammenabeit (GIZ) GmbH.

 Afisa Tehema hospitali ya Teule Muheza Tanga, Aloyce Alex, akitoa maelekezo kwa Afisa Ubalozi wa Ujerumani nchini, Claudia Kraemer, mara baada ya uzinduzi wa kituo cha kuhifadhi kumbukumbu na udhibiti wa makusanyo ya pesa, Serikali ya Ujerumani kupitia mgango mlaalumu la Shirika la Deutsche Gesellschsft for Internationale Zusammenrbeit (giz) jana

Afisa Ubalozi wa Ujerumani nchini, Claudia Kraemer (kushoto), akikata uzi kuzindua kituo cha kuhifadhi kumbukumbu na Udhibiti wa makusanyo ya  pesa hospitali ya Teule Muheza Mkoani Tanga, kushoto ni Askofu wa Anglikana Tanga, William Mndolwa na katikati ni  mhudumu wa afya Merriment Hiza.  Serikali ya Ujerumani imeisaidia hospitali ya Teule kupitia mpango maalumu la shirika la  Deutsche Gesellschsft for Internationale Zusammenarbeit (giz) jana.

No comments:

Post a Comment