Afisa Mradi wa Bank ya Maendeleo ya Ujerumani (KFW), Francis Mbwana, akimuelekeza Muuguzi kliniki ya Manundu Korogwe Tanga, Dorris Danniel namna ya kutumia simu ya kiganjani kusajili wanachama wapya mama wajawazito, mradi huo unaoendeshwa kwa pamoja na Bima ya Afya (NHIF) Mkoa wa Tanga na kushirikisha wauguzi kutoka halmashauri tisa za Tanga.
Thursday, February 4, 2016
NHIF YAANZISHA USAJILI WA WAJAWAZITO KWA KUTUMIA SIMU
Afisa Mradi wa Bank ya Maendeleo ya Ujerumani (KFW),
Francis Mbwana, akizungumza na wauguzi kutoka halmashauri tisa za Mkoa wa Tanga
wakati wa utoaji elimu ya usajili wa wanachama wapya mama mjamzito kwa kutumia simu mradi ambao unaendeshwa na Bima ya Afya
(NHIF) Mkoa wa Tanga.
Afisa Mradi wa Bank ya Maendeleo ya Ujerumani (KFW), Francis Mbwana, akimuelekeza Muuguzi kliniki ya Manundu Korogwe Tanga, Dorris Danniel namna ya kutumia simu ya kiganjani kusajili wanachama wapya mama wajawazito, mradi huo unaoendeshwa kwa pamoja na Bima ya Afya (NHIF) Mkoa wa Tanga na kushirikisha wauguzi kutoka halmashauri tisa za Tanga.
Afisa Mradi wa Bank ya Maendeleo ya Ujerumani (KFW), Francis Mbwana, akimuelekeza Muuguzi kliniki ya Manundu Korogwe Tanga, Dorris Danniel namna ya kutumia simu ya kiganjani kusajili wanachama wapya mama wajawazito, mradi huo unaoendeshwa kwa pamoja na Bima ya Afya (NHIF) Mkoa wa Tanga na kushirikisha wauguzi kutoka halmashauri tisa za Tanga.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment