Thursday, February 5, 2015

ASKARI ALIUWAWA WAKATI AKIMUOKOA MTOTO NDANI YA NYUMBA AAGWA

Askari Polisi aliyeuliwa kikatili Mkoani Dodoma aagwa leo, Muuaji naye auliwa na wananchi

Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Ernest Mangu akiongoza  waombolezaji katika kutoa heshima za mwisho kwa Askari Namba G. 7168 PC JOSEPH ISACK SWAI aliyeuwawa huko Chango’ombe  Mkoani Dodoma na mtu aliyefamika kwa jina la TISSI SIRIL MALYA.
Wasifu wa marehemu ukisomwa 
Maombolezo wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa askari shujaa

No comments:

Post a Comment