Umri, matendo yake na cheo cha Gavana huyu wa Nigeria ndio vinamuweka ktk headline
Babatunde Fashola ni
Gavana wa Jimbo la Lagos Nigeria, ameingia kwenye headlines naye,
amesema ameshajilipia kaburi lake miaka minne iliyopita, haogopi kifo na
anajua kuwa siku moja atafariki tu hivyo sio vibaya akiandaa kabisa
makazi yake ya baadaye.
“It is
the truism of life, everyone who comes must go so as we are building
hospitals, roads, schools, imbibing survival strategy, we must also plan
for the end. This sounds like something people don’t want to discuss. I
have bought my vault. It surprises people. I paid for it four years
ago. As I always tell people, if you come here for life you must plan to
go. Those who don’t want to go, should not come“– Fashola.
Gavana huyu ana umri wa miaka 51, moja ya story ambayo iliwafurahisha
wengi kuhusu yeye ni ile ya kujipiga zake SELFIE wakati Gavana wa
zamani wa Lagos Bola Tinubu akiwa anahutubia.
Gavana Fashola na Selfie yake
No comments:
Post a Comment