Pale ambapo ‘mbwa mstaafu’ anaagwa kwa heshima kabisa na gwaride..
Mbwa huyo wa Polisi ambaye anaitwa Judge
amepewa heshima na kuagwa kishujaa, kaandaliwa na gwaride pamoja na
kupigiwa saluti na Polisi tukio ambalo lilishuhudiwa pia watu wa haki za
wanyama.
Watu wa haki za wanyama walishauri mbwa
huyo ‘astaafishwe’ na pia apelekwe kupatiwa matibabu katika Hospitali ya
wanyama ya Swedesboro.
Huu ni msafara wa gari zilizombeba mbwa huyo.
Tukio hilo sio geni sana kwa wenzetu,
kuliwahi kuwa na story ya ishu ya mbwa mmoja wa Polisi ambaye alizikwa
kwa heshima kama ambavyo huwa mazishi ya askari yanafanyika.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitiawww.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment