Thursday, February 12, 2015

MASUPA STAA WA MOVIE HEMEDI, MBOTO NA SABRINA WATOA MOVE KALI

Kama ukipita mtaani leo FEB 12 kumbuka kucheki hii filamu mpya imeingia sokoni leo

IMG-20150207-WA0000-Copy-2
Kwa wale wapenzi wa movie za kibongo hii ni movie mpya ambayo imeingia rasmi sokoni leo February 12, unaambiwa ndani kuna mastaa kama Hemed Suleiman, Latifa Idabu, Haji Salum aka Mboto, Sadiki Manwila na Sabrina Omari.
Hii inazungumzia maisha ya Mtanzania wa kawaida, hasa kijana akiwa kwenye changamoto za maisha, kama umemis kucheka pia basi pitia hii, najua utaenjoy na ukali wa Mboto mwenyewe humu ndani mtu wangu.
IMG-20150207-WA0000 - CopyNitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment