
Leo February 6 ni muendelezo wa ile ya ishu ya jana ambayo inahusu taarifa zilizosambaa kuwa jamaa anayeitwa
Lucas ambaye ilisemekana kuwa ni mume wa msanii
Pipi kuweka bondi gari la familia na kupewa kiasi cha pesa alichohitaji, siku alipoenda kulichukua mama wa msanii
Pipi alilikamata kwa madai kuwa limeibiwa.
Soudy Brown amezungumza na Pipi ambaye amekubali kuwa Lucas ni mume wake lakini hamfahamu jamaa anayeitwa Edson wala hajui chochote juu ya ishu yakuwekwa bondi kitu chochote.
No comments:
Post a Comment