Balozi
Mark Lippet wa Marekani nchini Korea ya Kusini akiwa na majeraha baada ya kushambuliwa kwa kisu usoni na pia katika kifundo
cha mkono wake na mshambuliaji aliyekuwa akibwata kuhusiana na suala la
kugawanywa kwa kipande cha ardhi ya jumuiya yao.
Mara tu
baada ya shambulio hilo Rais wa Marekani Barack Obama amemtakia uponaji
wa haraka msaidizi wake wa zamani Mark Lippert akimuombea uponaji wa
haraka baada tu ya shambulio lililofanywa wakati wa hotuba ya asubuhi.
Balozi
huyo mwenye umri wa miaka 42 alikimbizwa hospitalini ambako alifanyiwa
upasuaji wa zaidi ya masaa mawili ingawa madaktari wamethibitisha majeraha
yake hayahatarishi maisha yake. Chanzo BBC
Hutopitwa na habari yoyote inayofikia wakati wowte kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment