Monday, March 9, 2015

ERICK OMONDI DIZAINA WA UCHEKESHAJI KENYA

Uliiona hii? mchekeshaji wa Kenya anakwambia matumizi ya suti, na mke akikukosea unamfanyaje eti?

OmondiErick Omondi ni miongoni mwa wachekeshaji hodari sana kutoka Kenya, umaarufu wake unazidi kupata uzito kila siku zinavyosogea sababu kila time anakuja na vitu vipya.
Kama ndio kwanza unamfahamu leo,  akielezea matumizi ya suti ambapo pamoja na ishu nyingine anakwambia jinsi ya kumuadhibu mpenzi wako anapokukosea.


Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia  www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment