Maajabu ya pete ya kuokota yaliyomkuta huyu jamaa…
Kijana huyo aliyefahamika kama Eric Buageng,
alisema iliiokota pete hiyo pembeni ya barabara wakati akirudi nyumbani
akitokea Kanisani na kuivaa kwenye kidole cha shahada mkono wa kulia,
lakini cha kushangaza baada ya kufika nyumbani alianza kusikia maumivu
kutokana na pete hiyo kumbana kidole.
Tangu wakati huo jitihada za kujaribu
kuitoa pete hiyo zimeshindikana pamoja na kwenda kwenye Hospitali
mbalimbali ikiwemo ya wataalam wa Jeshi ya 37’ Military na ile ya Korle
Bu Teaching bila mafanikio, katika jitohada za kuhakikisha inatoka
alikutana na wachungaji mbalimbali waliomuombea lakini hakufanikiwa
kuitoa.
No comments:
Post a Comment