Matumaini ya Serikali juu ya ndege ya Malaysia Airlines MH370
Mweza January 2015 Serikali ya Malaysia
ilitangaza rasmi kwamba jitihada za kuitafuta hazikuwa na dalili wala
matumaini yoyote kuipata, lakini katika mahojiano aliyoyafanya na
Shirika la Utangazaji la BBC, Liow Tiong Lai Waziri
wa Uchukuzi wa Malaysia amesema bado vikosi vya utafutaji vinaendelea
na kazi ya kuitafuta ndege hiyo ambapo kazi hiyo wanashirikiana na
Serikali ya Australia.
Waziri anaamini mpaka kufikia mwezi May mwaka huu kazi ya kuitafuta itakuwa imekamilika na watakuwa wameipata ndege hiyo; “We are confident we can complete the search hopefully by May this year, and we hope we can get the plane“– Liow Tiong Lai.
Meli ikiendelea na kazi ya kuitafuta Meli hiyo.
No comments:
Post a Comment