Kingine kuhusu rufaa ya Oscar Pistorius mahakamani Afrika Kusini.
Tangu aanze kutumikia kifungo
mwanariadha huyo aliingia kwenye headlines baada ya kukata rufaa ambayo
ilikataliwa pia ishu ya kupunguziwa masharti magumu kwa kuruhusiwa
kuonana na ndugu zake pamoja na kuzungumza kwa simu lakini kingine
ambacho kilitokea hivi karibuni ni ishu ya yeye kukataa chakula cha
gerezani akihofia uhai wake kwa kuwekea sumu na wenzake.
Jaji Thokozile Masipa ametoa uamuzi katika mahakama ya Johannesburg kwamba ombi hilo likataliwe.
Baada ya kusikizwa kwa rufaa hiyo jaji Masipa alisema kuwa maelezo hayamruhusu kusikiza ombi hilo ama hata kulitupilia mbali.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment