MVUA YA MAWE YALETA MAAFA MKOANI SHINYANGA
Watu 35 wanadaiwa kufa na wengine 55 wamejeruhiwa baada ya kuangukiwa na
nyumba zao kufuatia mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali
iliyonyesha usiku wa kuamkia leo, kata ya Mwakata, Wilaya ya Kahama
mkoani Shinyanga.
Habari zaidi juu ya tukio hilo fuatilia blog hii kwani inafanya mawasiliano na wakazi wa maeneo hayo pamoja na viongozi wa Serikali.
No comments:
Post a Comment