Friday, March 13, 2015

MZIMU WA AJALI WALIANDAMA TAIFA

BASI LAGONGA MKOKOTENI WA NG'OMBE  SIMIYU LAUA ,34 WANUSURIKA KUFA

Basi la Simiyu Express linalofanya safari zake Dar - Simiyu kila siku  limegonga mkokoteni wa ngombe na kuua mtu mmoja na ng'ombe wake eneo la
 kijiji cha Salunda barabara kuu iendayo Shinyanga.

.

Baadhi ya wasamaria wema wakikokota mkokoteni uliosababisha ajali hiyo na kupoteza uhai wa dereva wake pamoja na Ngo'mbe 2.
Baadhi ya mashuhuda wakiangalia basi hilo

Ngo'mbe akiwa amekufa
Baada ya basi kutolewa kichakani, muonekano wake lilivyopata ajali



No comments:

Post a Comment