Friday, March 13, 2015

WANAFUNZI CHUO KIKUU MAKERERE WAANDAMANA KUPINGA MUDA WA KULIPA ADA

Katika zile zilizoripotiwa kutoka Uganda ipo hii ya wanafunzi Chuo cha Makerere.

DSC00513Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Makerere Uganda wameingia kwenye siku ya pili ya maandamano kwa madai ya kupewa muda mfupi wa kukamilisha kulipa ada za shule.
Maandamano ambayo yalianza juzi ambapo siku ya mwisho ya kulipa ada hiyo ni February 17, hata hivyo wanafunzi hao walionekana kutoridhishwa na maamuzi hayo na kutaka kulipa kama walivyokuwa wakilipa siku za nyuma.
DSC00519
DSC00515
DSC00513
DSC00506

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment