Wednesday, March 11, 2015

NAREJEA SHAMBANI MWANANGU

  Mkazi wa kijiji cha Madanga Wilayani Pangani Tanga, Sigareti Jonas Mganga, akirejea kutoka shambani  kama alivyokutwa leo asubuhi katika shamba la Mbuyuni akiwa amebeba mzigo wa kuni kwa ajili ya matumizi ya nyumani.


No comments:

Post a Comment