Safari hii ya ndege inayotumia nguvu ya jua kuingia kwenye rekodi mpya Duniani
Jaribio linafanywa sasa hivi
likifanikiwa basi huenda historia ikaingia kwenye ukurasa mwingine,
ndege inayotumia umeme wa nguvu ya jua imeanza safari ambapo tayari
imeruka kutoka Abu Dhabi.
Ndege hiyo inasafiri na ujumbe wa
kuhimiza uwekezaji kwenye Teknolojia salama ambayo ni rafiki kwa
mazingira na ikifanikiwa kumaliza safari yake itaingia kwenye rekodi za
kuwa ndege ya kwanza inayotumia nishati ya jua kusafiri duniani.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment