Monday, March 9, 2015

NEW AGE YAFUNIKA SIKU YA MWANAMKE DUNIANI

Sherehe hiyo ambayo imeratibiwa na wanafunzi wenyewe ilifana hasa pale waliposema wanaunga mkono jitihada zinazofanywa na wanawake Tanzania katika kuwania nafasi za kuongoza na wanazoongoza na hivyo kutaka kuona mwaka huu wa uchaguzi mkuu Rais ajae awe Mwanamke.
Katika salamu zao kwa wanawake waliwataka wasikate tamaa ya kujiendeleza na masomo na hivvo kuwataka kujiunga na kituo hicho kwani mbali ya kufaulisha vizuri pia kituo kiko na mazingira mazuri ya kusoma na kujisomea.
Kwa mujibu wa risala iliyosomwa kabla ya sherehe hizo kufanyika , Madam Mrutu, alisema toka kituo hicho kianzishwe  hakuna mwanafunzi aliefeli na wote wamekuwa wakifaulu mfululizo jambo ambalo wamekuwa wakipokea wanafunzi kutoka ndani ya Mkoa na nje Mkoa ikiwa na pmaoja na nje ya nchi.
Cheki pichaz ya sherehe zao 


















No comments:

Post a Comment