Hiki ndicho kinachomtia hofu Oscar Pistorius gerezani kwa sasa
Taarifa kutoka gerezani zinahusu Oscar Pistorius kugoma kula chakula cha gerezani kutokana na hofu kwamba wafungwa wenzake watamuwekea sumu.
Oscar ambaye anatumikia kifungo cha miaka mitano kwa kosa na kumuua bila kukusudia mpenzi wake Reeva Steenkamp amegoma kuendelea kula chakula cha gerezani ambapo mgomo huo alioufanya umemfanya mwili wake kudhoofika.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment