Friday, March 6, 2015

UKIWA MBUGANI HATA UKIWA NDANI YA GARI BADO HAUKO SALAMA

imeniogopesha sana, iwafikie wote wanaokwenda mbuga za Wanyama na kujiamini ndani ya magari.

Simba nomaTumekua na tabia ya kujiamini sana tunapokwenda kwenye mbuga za Wanyama tukiwa ndani ya magari, hii  imenifanya nijue kumbe hata kama tuko ndani ya magari kuna hatari ya Wanyama kutudhuru kama hatuko makini.

No comments:

Post a Comment