Pichaz za nyumba 3 bora za kisasa zilizonivutia leo kwenye mvuto wa nje mpaka ndani.
Hii nyumba ipo Texas Marekani.
Picha zinazofata hapa chini ni nyumba zilizopo California Marekani na Slovakia.
Hii ni moja ya sehemu zilizonivutia sana kwenye hii nyumba ya Israel, taa huwa zinanogesha sana nyumba
Nyumba ipi imekuvutia zaidi
No comments:
Post a Comment