Kwenye zile kali za mwaka !!! hii ya Wanaume 400 kukata uume wao uliipata?
Sasa hii ya leo inamuhusu muhubiri maarufu wa dini nchini India ambae anawafuasi milioni hamsini duniani Gurmeet Ram Rahim Singh
anakabiliwa na mashtaka ya kusababisha majeruhi kwa tuhuma za
kufanikiwa kuwashawishi wafuasi wake wapatao 400, kukata sehemu zao za
siri ili waweze kuwa karibu na Mungu.
Mmoja wa wafuasi wake Hans Raj Chauhan
aliwaambia Polisi kwamba alikatwa sehemu zake za siri kwa sababu
alidhani asingetakiwa kwenye jamii kama angekataa kutekeleza hilo jambo
lililoanzishwa na Singh.
Singh aliwaambia wafuasi wake kwamba wale ambao watatekeleza amri hiyo watakuwa na uwezo wa kumuona Mungu.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment