Saturday, March 7, 2015

WAKALI WALIOFANYA VIZURI AFRIKA KATIKA RADIO NA LUNINGA

Hapa ni UGANDA feat. NIGERIA mtu wangu.. Jose Chameleone feat. Patoranking-

Jose-Chameleon-1024x1024Sura Yako Remix- Sauti Sol Feat. Iyanya, My Number One Remix- Diamond Platnumz Feat. Davido ziko kwenye kumbukumbu ya ngoma kali kuwahi kutokea Africa, l Jose Chameleone ambaye nae ameingia kwenye list ya wakali wa East Africa kufanya mziki na mastaa wa Nigeria.
 Chameleone ambayo anaiachia huku kwenye chati ya zinazofanya vizuri kwa sasa ipo yake Feat. Prof. Jay-Kwa Ajili Yako‘.
Jose-Chameleon-1024x1024

Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment