Mteja wa machungwa, Idd Akida( wakwanza kusoto) akichagua machungwa jana soko la Mgandini Tanga, wachuuzi wa machungwa wamekuwa wakilalamika kukosa soko la uhakika la kuuzia mazao yao na badala yake wamekuwa wakiuza kwa wateja mmoja mmoja.
Monday, February 1, 2016
MSIMU WA MACHUNGWA TANGA
Mchuuzi wa machungwa soko la Mgandini Tanga, Abdi
Amani (kushoto) akimhudumia mteja wake, Idd Akida (kulia) , msimu wa machungwa
umeingia na wafanyabiashara na wakulima mashambani wamekuwa wakilalamika kukosa soko la
uhakika na badala yake wamekuwa wakiiuza kwa wateja mmoja mmoja.
Mteja wa machungwa, Idd Akida( wakwanza kusoto) akichagua machungwa jana soko la Mgandini Tanga, wachuuzi wa machungwa wamekuwa wakilalamika kukosa soko la uhakika la kuuzia mazao yao na badala yake wamekuwa wakiuza kwa wateja mmoja mmoja.
Mteja wa machungwa, Idd Akida( wakwanza kusoto) akichagua machungwa jana soko la Mgandini Tanga, wachuuzi wa machungwa wamekuwa wakilalamika kukosa soko la uhakika la kuuzia mazao yao na badala yake wamekuwa wakiuza kwa wateja mmoja mmoja.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment