Bomba la mfumo wa maji taka jiji la Tangalitiririshalo baharini likiwa mfuniko wake umewekwa kando na kusababisha kero kwa watu wanaofika katika beach hiyo kwa kupunga upepo na kujiburudisha baada ya uchafu wake kumwaga nje na kutoa harufu kali.
Bomba hilo ambalo ndilo lenye umwagaji wa uchafu kutoka katika nyumba zilizo katika mfumo wa maji taka jiji la Tanga humwaga hapo.
Baadhi ya watu wanaofika eneo hilo maarufu kama Jett, wamedai kuwa harufu itokayo katika chembe hiyo ni kali na ni hatari kwa afya ya bianadamu ifikaye hapo.
Inadaiwa kuwa watu wengi wamepungua kufikia katika eneo hilo kutokana na kero hiyo ambayo wamedai kuwa ni ya muda mrefu.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa Tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment