Gold Man auawa India
Dhababu ya shati hilo inasemekana hapo 2013 ilikuwa kilo tatu 3kg na liligharimu $250,000.
Polisi wamewakamata wanaume wanne kuhusiana na mauaji ya Datta Phuge.
Phuge alikuwa akifanya biashara ya kukopesha watu fedha kwa faida na huenda alikosana na baadhi ya wateja wake.
Katika uhai wake aliwahi kuulizwa kwanini anapenda kuvalia na kujinakshi kwa dhahabu chungu nzima, jibu lake ni hili....Hiyo ndio imekuwa ndoto yangu tangu zamani, kama vile watu wengine hupenda magari ya kifahari kama vile Audi ,Mercedes, nami napendelea mng'aro wa dhahabu''
BBC.
No comments:
Post a Comment