Friday, July 15, 2016

MFEREJI MADINA , HATARI

 Mfereji wa majitaka Madina Tanga, ukiwa umeziba baada ya kufanyiwa usafi na kutekelezwa na wasafishaji na kuwa kero kwa majirani na watumiaji wa barabara ya jirani na mfereji huo.
Halmashauri ya jiji la Tanga imekuwa ikifanya jitihadaza kuliweka jiji hilo kwa kuifanyia usafi mifereji yake na usafi wa barabara lakini kutokuwepo kwa sheria ndogondogo watu wengi wamekuwa hawazingatii utunzaji wa mazingira.maeneo yao.
Picha ni mfereji utokao Viwandani Gofu uelekeao Sahare Bandarini ukiwa maji yametuama hadi kubadilika rangi na kuzusha kitisho kwa jamii.





No comments:

Post a Comment