Drake na ‘Suprise’ yake ya album kama Beyonce!
Mkali wa tuzo za Grammy Drake
ameamua kuiga style ya Beyonce ya bila kutangaza kutoa albamu kwa
kuachia albamu yake mpya yenye nyimbo 17 kwa kuwashtukiza mashabiki
wake.
Drake alitoa albamu yake hiyo inayoitwa ‘If You’re Reading This It’s Too Late’ jana Alhamisi kwa kuipost kwenye Twitter ambayo amewashirikisha mastaa mbalimbali kama Lily Wyne, Travi$ Scott na PartyNextDoor,
Drake ameendelea kufanya vizuri ambapo katika albamu yake iliyopita ya ‘Nothing Was the Same’
aliweza kufanya vizuri na kushika nafasi ya kwanza katika billboard
mwaka 2013 na kufanikiwa kuuza kopi 658,000 katika wiki ya kwanza tu.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment