Mwendelezo wa taarifa kuhusu waliofariki kwenye ajali ya TransAsia
Leo vikosi vya uokoaji vimefanikiwa kuupata mwili wa mtu mmoja ambao haukuwa umepatikana mpaka jana.
Ndege hiyo ilipata hitilafu kwenye
engine moja na kufanya ndege hiyo kupoteza mwelekeo, ikagonga ukingo wa
daraja na kuanguka mtoni.
Siku ya juzi ndugu wa marehemu walikaa
kikao na uongozi wa Kampuni hiyo ya ndege na kukataa kulipwa fidia ya
pesa ambayo ni sawa na jumla ya dola milioni 14.9 za Taiwan (zaidi ya
Ths. Milioni 850/-) ambayo wangepatiwa ndugu hao kwa kila mtu mmoja
aliyefariki kwenye ajali hiyo.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment