Monday, February 9, 2015

IMANI , PASTOR AJIKATLI TORONTO

Pale ambapo Pastor aliamua kuyakatili maisha ya mke wake mjamzito ili ampate muumini wake

pastorMchungaji wa kanisa Toronto, Canada aliamua kumuua mke wake ambaye ni mjamzito wa miezi mitano ili aweze kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mmoja kati ya waumini wake.
Philip ambaye tayari alianza kuwa na uhusiano na muumini huyo huku mke wake Anne Karissa akiwa anajua kinachoendelea kati yao, lakini aliamua kumsamehe.
Pamoja na upendo wa mke wake kwake mchungaji huyo aliona hiyo haitoshi na kufanya uamuzi wa kumzamisha mke wake kwenye maji hadi kusababisha kifo chake pamoja huku akiwa na ujauzito.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia

No comments:

Post a Comment